Looking for something in our website? Search here

Our Shared Values

Through our commitment to these values, we strive to build a sustainable future for all. Join us in creating shared value that benefits everyone.

Tunaongozwa na maadili ya pamoja kuhudumia jamii

Kupitia tunu hizi, tumeahidi kusimamia ukuaji uchumi utakaofaidisha wote. Jiunge nasi katika kusimamia tunu hizi ili jamii yetu pana iweze kuwa bora:

Stack

Huruma kwa wengine

Tiunawekeza rasilimali ya kutosha katika kutathmini na kelewa muktadha wa jamii tunazohudumia, changamoto na mahitaji ya watu, wabia wetu na walengwa wa kazi zetu.

Kuleta chachu ya maendeleo

Katika kila mradi tunaowezesha tunalenga kuleta chachu ya kujenga uwezo na kuleta faida kwa wadau wote katika kuboresha tija na utendaji wa mifumo ya masoko ili kuinua jamii maskini.

Ubunifu wa suluhisho kwenye changamoto

Tunawekeza jitihada zetu kushirikiana na wadau wa kwenye mifumo ya masoko katika majukumu yetu ya kuiboresha ili kufaidisha walengwa wetu kwa kugusa maisha yao kwa maendeleo endelevu.

Kuwezesha uhudumiaji nguvukazi maskini

Tunawekeza na kuwezesha wafanyakazi na wadau wetu kujifunza na kukua, na pia muda wote kutengeneza fursa za kuhudumia jamii maskini

modify or copy the materials;
use the materials for any commercial purpose;
transfer the materials to another person or materials;
attempt to decompile or reverse engineer any software;
remove any copyright or other proprietary notations;
transfer the materials to another person or “mirror” the materials.
We will collect personal information by lawful and fair means and, where appropriate, with the knowledge or consent of the individual concerned.
Need more information? Contact us