Looking for something in our website? Search here

Bodi ya Wadhamini

Hiki ndio chombo chenye mamlaka ya kusimamia na kujenga uwezo wa AMDT kuleta thaman na matokeo kupitia kazi zake kwa jamii za wanufaika, wakiwemo wakulima wadogo na wadau wengine kwa kufata Hati ya Makubaliano ya AMDT. Chombo hiki kinasimamia kwa uhuru na na weledi maamuzi yote ya AMDT na kuongoza utendaji na shughuli za Menejimenti.