Looking for something in our website? Search here

Kamati ya Uongozi

Hiki ndio chombo cha juu zaidi chenye mamlaka ya maamuzi hapa AMDT kuhusu kupitisha na kuruhusu maamuzi na shughuli zote ili kutoa muelekeo wa kimkakati wa AMDT kwa mujibu wa Mpango Mkakati wake, Mpango wa Utekelezaji wa Mwaka, na Bajeti yake. Chombo hiki kinaundwa na Wadau wa Maendeleo, (kwa sasa Denmark na Sweden), wawakilishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na wawakilishi wa Sekta Binafsi.