Looking for something in our website? Search here

Unajua Nguzo za AMDT?

Programu ya AMDT imesimikwa kwenye nguzo mbili kuu: Uwezeshaji Masoko na Ushauri wa Kimkakati. Kazi kupitia nguzo hizi zinaingiliana na na kutoa ramani kwa wadau wa Kilimo Tanzania.

Uwezeshaji Masoko

Lengo la uwezeshaji wa AMDT katika kilimo ni kujenga uwezo na kufungua njia za kuonyesha faida kwa wadau wote wa mifumo ya masoko kwenye kilimo ili kuleta matokeo makubwa, chanya na ya kudumu kwa jamii maskini kupitia mifumo hiyo.

katika nguzo na mhimili huu, mkazo utakua kwenye sekta ndogo za mazao tatu za Alizeti, Mikunde na nyingine itakayotajwa baadae. Mhimili/nguzo ya Uwezeshaji Mifumo ya Masoko itatoa ushahidi kwa maudhui, data na tathmini kwa ajili ya Mhimili/Nguzo ya Ushauri wa Kimkakati.

Ushauri wa Kimkakati

Mhimili/Nguzo hii inawezesha AMDT kuwezesha na kutumia kwa weledi ushawishi na uwezo wa wadau kadhaa wa kimkakati kuwezesha maboresho ya mazingira ya biashara ili kufaidisha na kugusa maisha ya jamii maskin za nguvu kazi na wenye viwanda vidogo kwenye kilimo. katika mhimili/nguzo hii, mkazo utakua katika maeneo haya:

remove any copyright or other proprietary notations;
transfer the materials to another person or “mirror” the materials.
We will collect personal information by lawful and fair means and, where appropriate, with the knowledge or consent of the individual concerned.
Need more information? Contact us